178
Edith Kimani Aendelea Kumpapasa Mtangazaji Mwenza Larry Madowo
Sasa imekuwa wazi kuwa mwanahabari Larry Madowo ndiye hupapasa hisia za Edith na kufanya mwili wake kuchemka. Katika ujumbe wa mwaka mpya, mwanahabari huyo anasema anaendelea kufurahia matamu yanayoletwa na Madowo.
“Ni mwaka mpya. Bado mimi ni yule yule. Penzi bado ni lile. Larry Madowo amechange wallet lakini, kwa hivyo pesa ni nyingi,” aliandika Edith.